Waziri wa Mambo ya nje na Ulinzi wa Tanganyika , Oscar S. Kambona, Akizungumza na kikosi cha kujitolea cha walinda Amani ambapo ilikuwa Tarehe 6 July 1963 ili waje watoe mafunzo kwa jeshi na wananchi wa Tanganyika .Hafla hiyo ilifanyika katika Viwanja vya Bustani ya Rose Garden, katika Ikulu ya Marekani huko Washington D.C.maarufu kama White House.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni