: Kutoka kushoto na ambaye amelekezea uso wake kwenye Camera ni Marehemu Oscar Kambona , Waziri wa mambo ya Nje ya Tanganyika ' na aliyekaa chini akiwa anasaini karatasi ya makubariano ni Rais wa Tanganyika Julius Nyerere na Makamu wa Rais wa Zanzibar ' s Kas Sim Hanga ( Wakishuhudia ) na Rais wa zanzibar Abeid Karume akitia saini makubariano ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar 22 April . na ..27 April , 1964 ikawa Jamhuri ya Tanzania
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni